Picha ya msanii Abdukiba
Abdukiba ameongeza kusema matokeo hayo yamewafanya kuwa wanyonge hivyo harudi nyumbani kwa kuhofia fujo za kaka yake Alikiba ambaye ni shabiki wa Yanga.
Mwisho amesema timu yake ni nzuri japo wanahitaji kupata nafasi na muunganiko, pia ametabiri matokeo ya mchezo unaofata dhidi ya Yanga kwenye ngao ya jamii kwa kusema Simba atashinda 3 bila kwa hasira za TP Mazembe.
Zaidi mtazame hapa chini kwenye video