Alhamisi , 26th Aug , 2021

Waongozaji wa video za muziki Bongo wamejikuta wakitumia gari aina moja “Sunbeam Alpine” kwenye video za  wasanii mbalimbali wa Bongo Fleva kwa kipindi cha mwaka 2020/21.

Picha ya Gari aina ya Sunbeam Alpine

Gari hilo la rangi ya ‘Maroon’ limetumika kwa nyakati tofauti kwenye zaidi ya video 8 za wasanii wa Bongo Fleva na ambazo ni;

Mshahara – Young Dee  (Dir:Eris Mzava).
Nilewe – Kusah (Dir:Joma). 
Kidani – Ben Pol (Dir:Hanscana). 
Niwahi – Rich Mavoko (Dir:Ivan).
Mandewe – Moni Ft Salha (Dir:Joowzey) 
The One – Tommy Flavour (Dir:Elvis) 
Baila – Malaika (Dir:Lucca Swahili) 
Zaza – Brian Simba (Dir:Ngota)
Lost – Loui (Dir:Eris Mzava)
Yako wapi mapenzi – Ruby (Dir:Sasha Vybz)