Jumapili , 30th Mei , 2021

Mchekeshaji Hakika Ruben amefunguka kusema anapenda sana kutongozwa na wanawake kwani kipindi cha nyuma kabla hajawa staa ameshaachika sana kwenye upande wa mahusiano yake.

Mchekeshaji Hakika Ruben

"Sasa hivi nina mtu wangu na ninajiheshimu, sanaa imenisaidia kuwa na maisha ya furaha kwa sababu nimeshaachika sana huko nyuma kwa hiyo sasa hivi angalau nina furaha nikiona natongozwa 'inbox' na inatia moyo na kujiona upo vizuri" amesema Hakika Ruben

Zaidi mtazame hapa chini akizungumzia suala hilo.