Msanii AT
Kupitia instagram ameandika ‘Mfalme natoa kauli wimbo ujao usipokuwa hit song ndio utakuwa wimbo wangu wa mwisho sitajishughulisha tena na mambo ya muziki’
Msikilize zaidi akiongea.
Mfalme wa muziki wa mduara nchini, AT amesema ataacha kufanya muziki endapo wimbo wake mpya anatarajia kuachia muda wowote kuanzia sasa hautafanya vizuri sokoni.
Msanii AT
Kupitia instagram ameandika ‘Mfalme natoa kauli wimbo ujao usipokuwa hit song ndio utakuwa wimbo wangu wa mwisho sitajishughulisha tena na mambo ya muziki’
Msikilize zaidi akiongea.