
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro (kushoto) akimkabidhi Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Allan Kijazi Taarifa ya Kamati.
Dkt. Ndumbaro akiwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Allan Kijazi wamepokea taarifa ya kamati hiyo iliyoundwa kuchunguza ubadhirifu huo ikiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati Bw. John Mtega katika makabidhiano yalioyofanyika jijini Dar es Salaam.
Ubadhilifu wa fedha katika bodi hiyo iliyopelekea kusimamishwa kazi Mkurugenzi Mkuu wa TTB, Devotha Mdachi Aprili 10, 2021 ili kupisha uchunguzi na kupekelea kuundwa kwa Kamati hiyo.