Picha ya pamoja Billnass na Nandy
Akipiga stori na EATV & EA Radio Digital msanii huyo ameeleza kuwa "Tutawapokea watoto wowote ambao Mungu atakuwa ametubariki ila Billnass yeye anapenda kuwa na watoto 6, tutamfikiria" amesema Nandy
Aidha Nandy amesema pete ambayo aliyovalishwa na mpenzi wake huyo mwaka jana imepotea wakati anafanya shughuli za Kampeni, hivyo tukio hilo litarudiwa tena.
Zaidi tazama hapa chini kwenye video.