
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Aboubakari Kunenge
Mkuu wa mkoa ametoa kauli hiyo leo jijini Dar es salaam wakati akifungua mkutano wa viongozi wa dini na siasa kuhamasisha Amani na Haki Tanzania
“Wananchi wengi wana dini zao na dini hizo zina viongozi hivyo kupitia viongozi wa dini amani ya nchi imekuwa ikisimamiwa kwa kiasi kikubwa dhidi yao” amesema Kunenge
Aidha katika mkutano huo Kunenge amewahakikishia wanawake kwamba serikali imeweka mazingira wezeshi ambayo yatamsaidia mwanamke kushiriki kikamilifu katika uchaguzi mkuu