Msanii wa BongoFleva Nay Wa Mitego
Nay wa Mitego amefahamisha hilo kupiti ujumbe aliouweka kwenye ukurasa wake wa mtandao wa Instagram ambao umefuatana na comments mbalimbali kutoka kwa wadau na mashabiki wa muziki huku wakihitaji atoe wimbo mpya.
Kupitia post hiyo Nay wa Mitego ameandika kuwa "Sawa nipo Tayari kuwapa ngoma mpya mmenidai sana, HashTag ni Haki, Haki, Haki. Comments 600 naachia ngoma".