Prince Dully Sykes
Dully Sykes amesema kuwa, mwanaye huyu kwa sasa tayari amekwishamaliza sehemu yake katika ngoma hii, na anatarajia kumsimamisha Ommy Dimpoz ama Ney wa Mitego katika rekodi hii inayotarajiwa kuwa gumzo wakati itakapotoka.
Staa wa muziki Dully Sykes ambaye pia ni baba wa watoto watatu, amesema kuwa tayari moja ya watoto wake hawa wameonesha uwezo mkubwa katika muziki, akiwa anatarajia kutoka na ngoma yake hivi karibuni akiwa amemshirikisha staa mkubwa kabisa Bongo.