Waziri Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye.
Sumaye amefanya uamuzi huo leo Februari 10, 2020 katika Makao Makuu madogo ya Chama hicho Lumumba jijini Dar es salaam.
Sumaye amefikia uamuzi huo mbele ya Katibu Mkuu wa Chama hicho Dkt Bashiru Ally wakati wa vikao vya baraza la udhamini wa chama hicho ambacho kinaendelea Lumumba jijini Dar es salaam.
Tazama video kamili hapo chini