
Mtangazaji Kutoka EATV Tony Albert T-Bway akitoa maelekezo kwa kijana aliyepo jukwaani katika tamasha la Kili Music Tour nini cha kufanya ili ajishindie zawadi katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es salaam Mwishoni mwa wiki tarehe 6 septemba.

Mtangazaji Kutoka EATV Dullah akitoa maelekezo kwa wadada waliojitokeza jukwaani katika tamasha la Kili Music Tour nini cha kufanya ili ajishindie zawadi katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es salaam Mwishoni mwa wiki tarehe 6 septemba.

Dullah A.K.A Mjukuu akimpongeza Mwanadada aliyejishindia zawadi katika tamasha la mwisho la kili Music Tour 2014 katika Viwanja vya Leaders Club.

Wacheza dansi wa bendi ya mashujaa wakilishambulia jukwaa katika tamasha la kili Music Tour 2014 Leaders Club Dar es salaaam.

Mashuja Band kwa steji wakitoa burudani kwa mashabiki wao.

Jose Mara kwa steji akifanya yake.

Khalid Chokolaa na Jose Mara na bendi yao ya mapacha wa tatu wakitumbuiza kwenye Tamasha la Kili Music Tour 2014 katika viwanja vya Leaders Club.

Mwanamuziki Christian Bella akiimba na mashabiki wake katika kilele cha tamasha kubwa la burudani Tanzania Kili Music Tour 2014.

Mwanamuziki Christian Bella

Malkia wa Mipasho 'Taarabu' Bi Khadija Omary Kopa akiwaambia mashabiki wake kile wakipendacho kutoka kwake

Rich Mavoko akiwaimbia mashabiki wake kwa hisia katika tamasha la Kili Music Tour 2014 Leaders club.

Rich Mavoko akiwapa raha mashabiki wake katika viwanja vya leaders Club kwenye tamasha la Kili Music Tour 2014 jijini Dar es salaam.

Rich Mavoko akionyesha umahiri wake wa kudansi pamoja na madansa wake stejini

Vanessa Mdee akiiwaimbisha mashabiki wake katika tamasha la Kili Music Tour 2014 Leaders Club .

Ommy Dipoz nae hakukosekana stejini kwenye viwanja vya Leaders Club.

Mwanamuziki wa Miondoko ya RnB Ben Pol akiitumbuiza kwenye steji.

Ben Pol akilishambulia jukwaa

Ben Pol akiimba na mashabiki wake kwa hisia

Ben Pol akiimba kwa hisia

Prof. Jay akishambulia jukwaa kwa kuimba na mashabiki wake

Prof. Jay akiimba pamoja na mashabiki wake

Msanii Ay akitawala jukwaa

Ay akichana Mashairi yake


Mwana FA ama Binamu akichana Mashairi yake



Mwana FA na AY wakiamsha amsha furaha kwa mashabiki wao

Joh Makini nae akiwasilisha ukali wake kwenye steji

Weusi

Weusi

