
Habari za Kumbusho kuhamishwa nwa kituo zimethibitisha mtu wake wa karibu ambaye amesema kwa sasa Kumbusho yupo Central akitoa maelezo.
"Kumbusho yupo central kwa sasa anaendelea na taratibu za kutoa maelezo. Kosa lake hadi sasa ni kusambaza picha za hostel mpya zikiwa na ufa" Kimesema chanzo hicho
Ameongeza kwamba "Asubuhi saa mbili aliripoti kituo cha polisi Oysterbey kama alivyotakiwa jana baada ya kuwekewa dhamana na Spika wa bunge la DARUSO, na waliandaa file lake na kumwamishia central"