Submitted by Anonymous on Ijumaa , 20th Jun , 2014
Wasanii wa kundi la Weusi wakiwa back-stage wakisubiri kupanda kwenye stage.
Professor Jay akiwa na Ben Pol kabla ya tamasha kuanza.
Wakazi wa Songea wakiwa juu ya jukwaa wakishindana Kucheza juu ya jukwaa kwa kuwania zawadi toka TBL.
Zembwela akiongea na mkazi wa Songea wakati wa tamasha la Kili Music Tour 2014.
Kwa mala ya Kwanza msanii Shilole aliweza kutoa burudani kwa wakazi wa Songea.
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Shilole a.k.a Shishi Baby akiwapagawisha wakazi wa Mji wa Songea.
Mwasiti akiwa juu ya jukwaa akiwapa burudani wakazi wa Songea.
Msanii Mwasiti akiwa na shabiki wake mkazi wa Songea wakitoa burudani kwa pamoja.
Wakazi wa Songea wakishuhudia burudani toka kwa wakali wa muziki nchini katika tamasha la Kili Music Tour kwenye Uwanja wa Majimaji Songea.
Bi Khadija Kopa akitoa sham sham za nguvu kwa maelfu ya wakazi wa Songea.
Bi Khadija Kopa na Linex wakiwa kwenye jukwaa. Linex alipomshirikisha Malkia wa Mipasho Bi. Khadija Kopa kuimba kiitikio cha wimbo wake maarufu wa ‘Aifora’.
Msanii mwenye sauti ya kuvutia mashabiki wake wengi Linex naye alifanya show ya nguvu mbele ya maelfu ya wakazi wa Songea.
Ben Pol juu ya jukwaa la Kili Music Tour 2014 mjini Songea akiwapa burudani mashabiki
Mkali muziki wa wa R&B, Ben Pol akiwapa burudani mashabiki wa Songea ndani ya viwanja vya Majimaji.
Diamond Platinum akiwa na Wema Sepetu na Aunt Ezekiel wakiwa backstage kabla ya Diamond kupanda jukwaani.
Ommy Dimpozi akionesha umahiri wake kwenye jukwaa la Kili Music Tour Songea.
Kikundi cha ngoma za asili cha Lizombe kutoka mjini Songea nao walipata wakati wa kutumbuiza kwenye tamasha kubwa Tanzania la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Majimaji mjini Songea.
Professor Jay kupanda jukwaani na ngoma maarufu ya mkoa huo inayojulikana kwa jina la Lizombe
Professor Jay akitoa show ya nguvu kwa maelfu ya mashabiki wake mjini Songea.
Professor Jay kwa mrla ya kwanza akifanya show ya kwanza mjini Songea wakati wa wa tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Majimaji Songea.
Diamond Platinum akifanya onesho la kwanza mjini Songea wakati wa tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Majimaji Songea.
Diamond Platinum akithibitisha kwa wakazi Songea kwa nini alipata tuzo saba katika tuzo za Kili.
Diamond Platinum akiwapa shangwe za nguvu wakazi wa Songea wakati alipo shuka kwenye jukwaa na kwenda kwa mashabiki wake.
Dj Summer wa East Africa Radio.
Diamond Platinum akifanya show na shabiki wake kutoka Songea.
Diamond akiburudisha wakazi wa Songea katika uwanja wa Majimaji Diamond akimuimbia Wema wimbo wa "You are my Number One"
Wasanii wa Kundi la Weusi linaloundwa na Joh Makini, Nikki 2, G-Nako toka Jijini Arusha wakifanya onesho la aina yake wakati wa tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Majimaji mjini Songea.
Msanii wa Kundi la Weusi linaloundwa na Joh Makini akitoa burudani kwa maelfu ya wakazi wa Songea.