Zengwe
Mzee huyu huvuta sigara hadharani kila siku ya mechi. Hii ni hatari kwa afya za wanaoingia uwanjani.
Vumbua
Nahodha wa Twiga Stars, Sophia Mwasikili, asema morali ya timu imerejea kama ilivyokuwa kabla ya kufungwa na Ethiopia mwaka 2012.
Ripoti
Amis Tambwe wa Simba avuka mabao yaliyofungwa na Kipre Tchetche wa Azam FC msimu uliopita. Afikisha mabao 19