Submitted by Telesphory on Jumatano , 3rd Aug , 2016 Waendeshaji wa tamasha la 5SELEKT, T-Bway pamoja na vanilla wakikiwasha kwenye jukwaa la 5SELEKT wakati wa ufunguzi wa tamasha hilo katika shule ya Wazo Hill secondary school siku ya ijumaa ya tarehe 29Julai 2016. Mwendeshaji wa tamasha la 5SELEKT, T-Bway akimhoji mwanafunzi wa Wazo Hill Secondary School juu ya kipaji alichonacho katika tamasha ilo la 5SELEKT lililofanyika shuleni hapo siku ya ijumaa ya tarehe 29Julai 2016. Wanafunzi wa shule ya Wazo Hill Secondary School wakionyesha umahiri wa kucheza kwenye tamasha la 5SELEKT lililofanyika shuleni hapo siku ya ijumaa ya tarehe 29Julai 2016. Wanafunzi wa Wazo Hill Secondary School David Mwakibolwa na Doreen Mruma (waliojiita Aika na Nareel) wakionesha kipaji cha kuimba wakati wa tamasha la 5SELEKT lililofanyika shuleni hapo siku ya ijumaa ya tarehe 29Julai 2016. Mwanafunzi wa shule ya Wazo Hill Secondary School akionyesha aina ya vazi alilobuni, katika tamasha la 5SELEKT lililofanyika shuleni hapo siku ya ijumaa ya tarehe 29Julai 2016. Baadhi ya wanafunzi wa Wazo Hill Secondary School wakifurahia tamasha la 5SELEKT lililofanyika shuleni hapo siku ya ijumaa ya tarehe 29Julai 2016. Wanafunzi wa shule ya Wazo Hill Secondary School wakionyesha umahiri wa kucheza break dance katika tamasha la 5SELEKT lililofanyika shuleni hapo siku ya ijumaa ya tarehe 29Julai 2016. Baadhi ya wanafunzi wa shule ya Wazo Hill Secondary School wakifurahia tamasha la 5SELEKT lililofanyika shuleni hapo siku ya ijumaa ya tarehe 29Julai 2016. Msanii wa muziki wa bongo fleva nchini ajulikanae kwa jina la Mr. Blue akipiga bonge la “show” kwenye jukwaa la 5SELEKT ndani ya shule ya Wazo Hill Secondary School kwenye tamasha la 5SELEKT lililofanyika shuleni hapo siku ya ijumaa ya tarehe 29Julai 2016. Wanafunzi wa Wazo Hill Secondary School waliojishindia t-shirt na begi wakiwa makini kufuatilia tamasha la 5SELEKT linavyoendelea lililofanyika shuleni hapo siku ya ijumaa ya tarehe 29Julai 2016. Mwanafunzi wa shule ya Wazo Hill Secondary School akionyesha umahiri wake katika mchezo wa karate kwenye tamasha la 5SELEKT lililofanyika shuleni hapo siku ya ijumaa ya tarehe 29Julai 2016. Mwanafunzi wa shule ya Wazo Hill Secondary School, Kelvin Mbilu akionyesha uwezo wake katika mchezo wa sarakasi kwenye tamasha la 5SELEKT lililofanyika siku ya ijumaa ya tarehe 29Julai 2016. Wanafunzi wa shule ya Wazo Hill Secondary School wakiwa na nyuso za furaha zenye kuhashiria kufurahia tamasha la 5SELEKT lililofanyika shuleni hapo siku ya ijumaa tarehe 29Julai 2016. Mmoja wa wanafunzi wa shule ya Wazo Hill Secondary School akitoa neno lenye hamasa (“speech”) kwa wanafunzi wenzake kwenye tamasha la 5SELEKT lililofanyika shuleni hapo siku ya ijumaa ya tarehe 29Julai2016. Baadhi ya wanafunzi wa shule ya Wazo Hill Secondary School waliojishindia zawadi za ushiriki mbali mbali wakipozi katika picha ya pamoja wakati wa kumalizika kwa tamasha la 5SELEKT lililofanyika shuleni hapo siku ya ijumaa ya tarehe 29Julai 2016. Wanafunzi wa shule ya Wazo Hill Secondary School wakifurahia burudani ya mziki iliyokua ikitolewa na msanii wa bongo fleva ajulikanae kwa jina la Mr. Blue kwenye tamasha la 5SELEKT lililofanyika shuleni hapo siku ya ijumaa ya tarehe 29Julai 2016. Baadhi ya wanafunzi wa shule ya Wazo Hill Secondary School wakipata picha ya pamoja na mwendeshaji wa tamasha la 5SELEKT shuleni hapo ajulikanae kwa jina la T-Bway mwishoni mwa tamasha siku ya ijumaa ya tarehe 29Julai 2016. Baadhi ya wanafunzi wa shule ya Wazo Hill Secondary School wakipata picha ya pamoja na mmoja wa waendeshaji wa tamasha la 5SELEKT shuleni hapo ajulikanae kwa jina la Vanila, mwishoni mwa tamasha hilo siku ya ijumaa ya tarehe 29Julai 2016. Baadhi ya wanafunzi wa shule ya Wazo Hill Secondary School wakifurahia mziki uliokua ukipigwa na DJ Ommy Crayz kwenye jukwaa la 5SELEKT mara baada ya kumalizika kwa tamasha la 5SELEKT lililofanyika shuleni hapo siku ya ijumaa ya tarehe 29Julai 2016.