Jumamosi , 16th Jan , 2016

Katika kuleta utofauti kwenye game, star wa muziki Tunda Man ameamua kuinogesha video yake ya mama Kijacho ambayo inatarajiwa kutoka wiki ijayo na vipaji vya mastaa wa nguvu kutoka tasnia ya maigizo bongo, Riyama, Mboto na Wengine.

Tunda

Tunda amesema kuwa, kazi hiyo itafuatiwa na filamu fupi kuhusiana na kisa cha Mama Kijacho ambapo sambamba na mastaa hao, yeye pia atakaba namba kuigiza ambapo itakuwa ni nafasi nyingine ya kuwaonesha mashabiki kipaji chake kwa upande wa maigizo.

Tags: