Staa wa muziki nchini Kala Jaremiah
Kala Jeremaih ameeleza kuwa, cha muhimu ambacho kila mtanzania mwenye sifa anatakiwa kukifanya ni kujitokeza kupiga kura, kama ambavyo anaeleza kwa undani hapa.
Star wa muziki Kala Jaremiah, leo zikiwa zimebaki siku 2 kuelekea uchaguzi mkuu wa Tanzania ameonesha kuwa na imani na utaratibu mzima wa matokeo ya uchaguzi kuanza kutolewa katika vituo, akiamini kuwa mwaka huu zoezi hilo litakuwa ni la kipekee.
Staa wa muziki nchini Kala Jaremiah
Kala Jeremaih ameeleza kuwa, cha muhimu ambacho kila mtanzania mwenye sifa anatakiwa kukifanya ni kujitokeza kupiga kura, kama ambavyo anaeleza kwa undani hapa.