
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.George Simbachawene

Taswira ya Mtandao wa Bomba la kusafirishia maji kupeleka kwenye Mtambo wa uzalishaji umeme katika eneo la Mradi wa kuzalisha umeme wa maji (kilovoti 2,400) Idete wilayani Kilolo, Mkoa wa Iringa,

Mkuu wa Wilaya ya Geita, Kanali Boniphace Maghembe (wa pili kushoto) akipokea nyaraka za vifaa mbalimbali vya tiba kutoka kwa Ofisa Mwandamizi Mahusiano ya Jamii kutoka GGML, Musa Shunashu (wa kwanza kulia).

Waziri Simbachawene akizungumza na wananchi wa Kata ya Rudi katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Shule ya Msingi ya Chilendu, Jimbo la Kibakwe katika Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma