Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Zanzibar Heroes kuinyoa Kilimanjaro Stars?

Alhamisi , 7th Dec , 2017

Kilimanjaro Stars leo watacheza na Zanzibar Heroes katika michuano ya Chama cha soka Afrika Mashariki na kati (CECAFA) yanayofanyika nchini Kenya majira ya saa nane mchana, nani kubuka mshindi leo?

Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania bara maarufu kama Kilimanjaro Stars amesema wanaingia uwanjani wakiwa na hofu kubwa kwa kiwango walichoonesha Zanzibar katika mchezo wao wa awali.

"Tunaingia katika mchezo mgumu kwetu, tumejiandaa vizuri ili kupata alama tatu kujihakikishia nafasi ya kusonga mbele katika hatua inayofuata" , Ammy Ninje amesema

Kwa upande wa kocha mkuu wa Zanzibar Heroes amesema ni mchezo wa kihistoria hivyo watajitahidi wapate matokeo mazuri.

"Ni mchezo wa kihistoria kwetu sio rahisi kutabiri, lengo letu kushinda, kila mmoja ana mawazo hayo" , amesema  Hemed Morocco

Timu mbili katika kundi "A" zitakazopata alama za juu  zitapata nafasi ya kusonga mbele, kundi hilo lina timu tano ikiwemo wenyeji Kenya, Kilimanjaro Stars, Zanzibar Heroes, Libya na Rwanda.

Mchezo huu utakuwa mkali na mgumu pande zote kutokana na wachezaji wengi wa timu hizo kujuana na wengi wao kucheza ligi kuu Tanzania bara.

HABARI ZAIDI

Sehemu ya Ardhi iliyoathirika na Mabadiliko ya Tabia Nchi

Hizi hapa sababu za hali ya hewa isiyotarajiwa

Picha za Satelaiti Zikionyesha Mwenendo wa Kimbunga Hidaya

Kimbunga Hidaya chaendelea kutawala eneo la Pwani

Madaktari Bingwa wa Mama Samia Wakiendelea na Upasuaji

Uvimbe wa kilo 5 waondolewa tumboni kwa mwanamke

Rocket Mwashinga, Chifu Mkuu wa Kabila la Wasafwa

Chifu Mwashinga akemea washirikina kutesa watu

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Wanahabari na Wadau wengine kwenye Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma leo Mei 03, 2024.

Watendaji serikalini ondoeni ukiritimba - Majaliwa

Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro SACP Alex Mkama, akionesha vitu vilivyokuwa vimeibiwa

Fundi ujenzi mbaroni mauaji ya dada wa kazi