Ushindi huo unawafanya mabingwa hao watetezi watimize pointi 65 baada ya kucheza mechi 28.
Mchezo wa leo ulichezeshwa na refa Andrew Shamba kutoka Pwani, akisaidiwa na Joseph Pombe wa Shinyanga na Haji Mwalukuta wa Tanga.
Yanga imerudi kileleni mwa ligi kuu leo baada ya kuitandika Mbeya City ya jijini Mbeya kwa bao 2-1 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.