Jumapili , 16th Mar , 2014

Mabingwa wa soka Tanzania, Dar Young Africans, wamepata ajali maeneo ya Mikese mkoani Morogoro wa

Basi la Yanga lapinduka Mikese.

Mabingwa wa soka Tanzania, Dar Young Africans, wamepata ajali maeneo ya Mikese mkoani Morogoro wakati wakirejea Dar Es Salaam kutoka Morogoro walikokwenda kucheza na mtibwa. Katika ajali hiyo, hakuna aliyejeruhiwa. Yanga watacheza na Azam FC jumatano ijayo!