
Uteuzi huo umekuja muda mchache baada ya kukaa kikao cha kamati ya Utendaji chini ya uenyekiti wa CAF Rais Ahmad walipokutana hivi karibuni katika Hoteli ya Sheraton Manama, Bahra
Aidha, Tenga atakuwa akisaidiwa na Rais wa Shirikisho la Soka nchini Afrika Kusini, Danny Jordan ambaye ameteuliwa kuwa makamu wa kamati hiyo pamoja na kupewa cheo kingine cha urais katika kamati ya Masoko na Televisheni .