Jumamosi , 6th Aug , 2016

Kocha wa Mwadui FC, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ amefanikiwa kumsaini kwa mwaka mmoja zaidi mshambuliaji Jerryson Tegete.

Jerryson Tegete

“Ni kweli nimesaini tena mkataba wa mwaka mmoja na Mwadui FC. Ni maslahi tu.. pia ni timu ambayo nimecheza msimu uliopita na nimezoeana nao vizuri,” anasema Tegete mshambuliaji wa zamani wa Yanga na timu ya Taifa 'Taifa Stars'.