Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Tanzania yashuka nafasi moja, Ubelgiji ya kwanza

Jumatatu , 22nd Nov , 2021

Timu ya taifa ya soka ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imeshuka nafasi moja kutoka nafasi ya 130 hadi 131 katika viwango vya ubora wa soka vilivyotolewa na Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu, FIFA leo Novemba 22, 2021.

(Kiksoi cha Tanzania,'Taifa Stars' cha kuwania kufuzu WC Qatar 2022)

Huenda kufanya kwao vibaya katika michezo miwili ya mwisho ya kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) waliofungwa mabao 3-0 na sare ya bao 1-1 dhidi ya Madagascar kumeiporomosha Taifa Stars.

Tanzania ilishindwa kufuzu na kuishia hatua ya makundi katika Kundi J, ikimaliza kwa kushika nafasi ya tatu kwa pointi nane, huku kinara DRC ikisonga mbele hatua ya mtoano kwa pointi 11. Nafasi ya pili ilishikiliwa na Benin iliyokuwa na pointi 10 na Madagscar ilikuwa ya mwisho kwa pointi nne.

Aidha, kwa upande wa Afrika Mashariki Uganda bado wanaongoza wakishika nafasi ya 82, wakifuatiwa na Kenya 102, Sudan 124, Ethiopia 135 na Burundi 140. Kwa upande wa Afrika Senegal, Morocco, Tunisia, Algeria, Nigeria, Misri na Cameroon zipo katika 50 bora.

 Kidunia, Ubelgiji ndio inaongoza ikifuatiwa na Brazil, Ufaransa, England, Argentina, Italia, Ureno, Denmark na Uholanzi.

HABARI ZAIDI

Sehemu ya Ardhi iliyoathirika na Mabadiliko ya Tabia Nchi

Hizi hapa sababu za hali ya hewa isiyotarajiwa

Picha za Satelaiti Zikionyesha Mwenendo wa Kimbunga Hidaya

Kimbunga Hidaya chaendelea kutawala eneo la Pwani

Madaktari Bingwa wa Mama Samia Wakiendelea na Upasuaji

Uvimbe wa kilo 5 waondolewa tumboni kwa mwanamke

Rocket Mwashinga, Chifu Mkuu wa Kabila la Wasafwa

Chifu Mwashinga akemea washirikina kutesa watu

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Wanahabari na Wadau wengine kwenye Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma leo Mei 03, 2024.

Watendaji serikalini ondoeni ukiritimba - Majaliwa

Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro SACP Alex Mkama, akionesha vitu vilivyokuwa vimeibiwa

Fundi ujenzi mbaroni mauaji ya dada wa kazi

Wahitimu wa Mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa JKT

Wahitimu JKT watakiwa kulinda miradi ya serikali