
Wachezaji wa Simba na Azam wakichuana.
Jijini Dar es Salaam wenyeji wekundu wa Msimbazi Simba watawaalika Azam FC katika mchezo ambao utapigwa katika dimba la taifa ambao umefunguliwa rasmi hii leo.
Kuelekea mchezo huo maafisa habari wa timu hizo kila mmoja ametamba kuibuka na ushindi
Wakwanza ni Haji Manara yeye akianza na suala la kuruhusiwa kuutumia uwanja wa Taifa.
Sikiliza