Picha ya Gwiji wa Soka wa Brazil, Pele
Pele ameyasema hayo leo akiwa chumba cha uangalizi maalum 'ICU' kwenye Hospitali ya Sao Paulo Albert Einstein nchini Brazil kwa uangalizi zaidi baada ya kufanyiwa upasuaji 2a kuondoa uvimbe kwenye utumbo wake mkubwa siku chache zilizopita.
Pele amekuwa akipatiwa matibabu kwenye hospitali hiyo tokea Agosti 31 mwaka huu baada ya kugundilika pia ana shida ya upumuaji ambayo kwasasa imetibiwa.