Ijumaa , 2nd Feb , 2024
Afisa habari wa klabu ya JKT Tanzania na timu ya wanawake ya JKT QUeens, Masau Bwire amesema huu ndiyo muonekano wa uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo Stadium au ukipenda unaweza kuita "Old Trafford ya Bongo", uwanja ambao utakuwa unatumiwa na timu za JKT Tanzania na timu ya wanawake ya JKT