
Shirikisho la soka nchini TFF limevitaka vilabu vya soka hapa nchini kutoa elimu kwa mashabiki wao juu ya athali za uharibifu wa miundo mbinu ya viwanja inayofanywa na baadhi ya mashabiki wasiokua na tabia njema
Afisa habari wa TFF Boniface Wambura amesema kuwa tabia ambaya zinazoendelea hivi sasa kwa baadhi ya mashabiki kufanya fujo na kuaribu miundombinu ya viwanjani ni kitendo cha kulaani na kuwataka mashabiki kuacha tabia hiyo mara moja
Wambura amesema kuwa vitendo hivyo vitasababisha wamiliki wa viwanja husika kuamua kufungia viwanja na hata kuzuia mashabiki kuingia viwanjani
