Jumapili , 1st Aug , 2021

Mabingwa wa CECAFA Challenge 2021, timu ya Taifa ya Tanzania chini ya miaka 23 wamewasili nchini asubuhi leo Agosti 1, 2021, wakitokea Ethiopia.

Wachezaji walipotua uwanja wa Ndege wa JK Nyerere

Tanzania U23 walishiriki michuano CECAFA Challenge 2021 ambayo ilifanyika huko na wakatwaa ubingwa kwa kuifunga Burundi penati 6-5 kwenye mchezo wa fainali Ijumaa Julai 30, 2021.

Katibu Mkuu wa TFF Wilfried Kidao akiwa ameshika kombe