Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Liverpool Vs Arsenal rekodi zao ni balaa

Jumatatu , 28th Sep , 2020

Liverpool na Arsenal watakutana mara mbili ndani ya siku nne wiki hii, wanaanza na mchezo wa Ligi kuu England EPL leo usiku utakao chezwa katika uwanja wa nyumbani wa Liverpool Anfield.

Arsenal wameifunga Liverpool mara moja tu katika michezo 10 ya mwisho ya ligi kuu England EPL

Timu zote mbili zina alama 6 hii ni baada ya kushinda michezo yao yate miwili Arsenal walipata ushindi dhidi ya Fulham wa bao 3-0 na wakaifunga West Ham United 2-1. Liverpool waliifunga Leeds United mabao 4-3 katika mchezo wa ufunguzi na wakainyuka Chelsea mabao 2-0 kwenye mchezo wa pili.

Hali za vikosi

Beki wa pembeni wa Arsenal Kieran Tierney anaweza kurejea kwenye mchezo huu baada ya kupona kutoka kwenye majeruhi Arteta ataendelea kuwakosa Shkodran Mustafi, Cedric Soares na Gabriel Martinelli ambao ni majeruhi wa muda mrefu.

Liverpool watamkosa nahodha wao Jordan Henderson ambae aliumia kwenye mchezo dhidi ya Chelsea hivyo inawezekana kiungo Thiago Alcantara akaanza kwenye kikosi kitakachoanza mchezo wa leo, lakini Joel Matipi ataendelea kukosekana. na Joe Gomes alifanya mazoezi na kikosi na anaweza kuwa sehemu ya kikosi.

Rekodi kueleka mchezo huu

Arsenal wameshinda michezo miwili iliyopita dhidi ya Liverpool, walishinda bao 2 -1kwenye mchezo wa ligi kuu msimu uliopita mwezi Julai, mwezi Agosti katika mchezo wa ngao ya jamii Arsenal walishinda kwa changamoto ya mikwaju ya penati baada ya mchezo kumalisza kwa sare ya bao 1-1 ndani ya dakika 90.

Liverpool wameshinda michezo minne mfululizo waliocheza katika uwanja wao wa nyumbani Anfield dhidi ya Arsenal. Kikosi cja kocha Klopp kimecheza michozo 60 katika dimba hilo pasipo kupoteza katika michezo ya ligi kuu.

Mara ya mwisho Arsenal kushinda katika dimba la Anfield ilikuwa mwaka 2012 ambapo walishinda bao 2-0.

Arsenal wameshinda mara moja kwenye michezo kumi ya mwisho ya ligi dhidi ya Liverpool wamefungwa michezo 5 na wamesare michezo 4.

Arsenal hawajashinda katika michezo 27 ya ugenini waliocheza dhidi ya timu sita za juu kwenye EPL maarufu kama (TOP SIX) wamefungwa mara 17 sare michezo 10 na wameruhusu mabao 61 kwenye michezo hiyo.

HABARI ZAIDI

Sehemu ya Ardhi iliyoathirika na Mabadiliko ya Tabia Nchi

Hizi hapa sababu za hali ya hewa isiyotarajiwa

Picha za Satelaiti Zikionyesha Mwenendo wa Kimbunga Hidaya

Kimbunga Hidaya chaendelea kutawala eneo la Pwani

Madaktari Bingwa wa Mama Samia Wakiendelea na Upasuaji

Uvimbe wa kilo 5 waondolewa tumboni kwa mwanamke

Rocket Mwashinga, Chifu Mkuu wa Kabila la Wasafwa

Chifu Mwashinga akemea washirikina kutesa watu

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Wanahabari na Wadau wengine kwenye Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma leo Mei 03, 2024.

Watendaji serikalini ondoeni ukiritimba - Majaliwa

Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro SACP Alex Mkama, akionesha vitu vilivyokuwa vimeibiwa

Fundi ujenzi mbaroni mauaji ya dada wa kazi

Wahitimu wa Mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa JKT

Wahitimu JKT watakiwa kulinda miradi ya serikali