Uwanja wa KMC ukikamilika
Mwenyekiti wa klabu hiyo ambaye pia ni Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Benjamin Sitta amesema uwanja huo utajengwa eneo la Mwenge jijini Dar es salaam.
Sitta amemweleza Waziri Mwakyembe kuwa Uwanja huo utakuwa unachukua mashabiki elfu tatu na utakuwa na huduma zote za kisasa.
Tazama Video ya uwanja huo hapa.




