Jumamosi , 26th Jun , 2021

Ligi ya kikapu nchini Marekani 'NBA' inatazamiwa kuendelea kwa mchezo mmoja utakaochezwa saa 10 Alfajiri ya kuamkia kesho Juni 25, 2021 ambapo Los Angeles Clippers wanasaka kujiuliza tena mbelel ya Pheonix Suns  ambao wapo mbele kwa ushindi wa michezo 2-1.

Kawhi Leonard akijaribu kuwapiya walinzi wa timu ya Utah Jazz, Rudy Gobert.

Kuelekea kwenye mchezo huo kocha wa Clippers, Tyrone Lue amethibitisha kumkosa nyota wake tegemezi, Kawhi Leonard kutokana na nyota huyo kuendelea kusumbuliwa na maumivu ya goti lake la kulia aliyoyapata kwenye mchezo wa 4 dhidi ya Utah Jazz siku 10 zilizopita.

Lcha ya nyota huyo kuiacha timu kwenye hatua ya muhimu ya mtoano lakini Clippers ilifanikia kuiondosha timu ngumu ya Utah Jazz na kutinga hatua hii ya sasa ya fanali wa NBA kwa ukana wa Magharibi.

Baada nyota huyo kukosekana, Pasul George aliubuka na kuonesha kiwango bora kilichofanya kutomkumbuka Kawhi Leoarr44

Kwa upande mwengine, 

Timu ya Milwaukee Bucks imeifunga timu ya Atalanta Hawks kwa alama 125-91 na kufanya matokeo ya timu hizo kuwa sare ya ushindi wa mchezo mmoja mmoja.
aza