Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Job kuweka rekodi Yanga

Alhamisi , 23rd Jun , 2022

Baada ya Yanga kutwaa ubingwa wake wa kwanza Ligi Kuu Bara, beki wa timu hiyo, Dickson Job amepanga kuweka rekodi mbalimbali akiwa ndani ya jezi ya Wanajangwani hao.

Dickson Job

Job alijiunga na Yanga kwenye dirisha dogo la msimu uliopita akitokea Mtibwa Sugar kwa mkataba wa miaka miwil na kuingia moja kwa moja kikosi cha kwanza akicheza kama beki wa kati sambamba na nahodha Bakari Mwamnyeto.

Tangu aingie Yanga, mchezaji huyo ametwaa mataji matatu akianza na kombe la Mapindizi msimu uliopita, ngao ya jamii mwanzoni mwa msimu huu na sasa Ligi Kuu, lakini nahodha huyo wa zamani wa timu za taifa za vijana Serengeti Boys na Ngorongoro Heroes ameeleza anataka rekodi zaidi akiwa Yanga.

“Nafurahi kuwa hapa, nataka niweke rekodi nyingi nikiwa na timu hii, tayari tumetwaa ubingwa bila kupoteza mechi hata moja, tupo fainali ya Kombe la Shirikisho pia tunataka kumaliza ligi bila kupoteza mechi,” amesema Job

Kwa msimu huu, Job amekuwa mhilimili wa Yanga kwenye eneo la ulinzi ambapo mara nyingi amekuwa akicheza beki ya kati na Mwamnyeto au Yanick Bangala na baada ya kutwaa Ngao ya Jamii, ligi na sasa imebakiza fainali ya Kombe la Shirikisho (ASFC) itakayochezwa Julai 2 dhidi ya Coastal Union.

HABARI ZAIDI

Sehemu ya Ardhi iliyoathirika na Mabadiliko ya Tabia Nchi

Hizi hapa sababu za hali ya hewa isiyotarajiwa

Picha za Satelaiti Zikionyesha Mwenendo wa Kimbunga Hidaya

Kimbunga Hidaya chaendelea kutawala eneo la Pwani

Madaktari Bingwa wa Mama Samia Wakiendelea na Upasuaji

Uvimbe wa kilo 5 waondolewa tumboni kwa mwanamke

Rocket Mwashinga, Chifu Mkuu wa Kabila la Wasafwa

Chifu Mwashinga akemea washirikina kutesa watu

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Wanahabari na Wadau wengine kwenye Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma leo Mei 03, 2024.

Watendaji serikalini ondoeni ukiritimba - Majaliwa

Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro SACP Alex Mkama, akionesha vitu vilivyokuwa vimeibiwa

Fundi ujenzi mbaroni mauaji ya dada wa kazi

Wahitimu wa Mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa JKT

Wahitimu JKT watakiwa kulinda miradi ya serikali