Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Inspector Haroun afunguka bifu yake na Nature

Ijumaa , 15th Dec , 2017

Mkali wa 'hit' za zamani kama asali wa moyo Inspector Haroun maarufu ‘Babu'  amesema hakuwa na bifu na mkali mwenzake kutoka Temeke Juma Nature bali bifu hiyo ilikuwa inatengenezwa na mashabiki.

Inspector amefunguka hayo kupitia Planet Bongo ya East Africa Radio ambapo amejinasibu kuwa wakati yeye anaoa mwanamke na kuhamia Kijitonyama kutoka Temeke ndio  kipindi ambacho Juma Nature na kundi lake la TMK walitoa ngoma ya 'Shibe shibe'

''Katika mistari ya nyimbo hiyo wamesema 'nyumbani ni nyumbani' watu wakawa wanajua kuwa kuhama kwangu Temeke  ndio akanitungia nyimbo hiyo, baada ya muda kidogo mimi nimetoa 'Mishe mishe' basi ndio tukawachanganya sana kumbe  wala haikuwa hivyo mimi na Nature hatuna tatizo tuko pamoja sana'', amesema.

Msanii huyo amesema kufanikiwa kwake kulitokana na kushiriki katika  shindano la kusaka vipaji lililofanyika Don Bosco, ambapo DJ Bony Love alikuwa Jaji wa shindano hilo, yeye na Luteni Kalama  wakaibuka washindi.

Alipoulizwa  kuhusu wasanii kutoa nyimbo ambayo haidumu kwa muda mrefu, amesema inatokana na kukosa ubunifu ambapo wakati wao  wanang’aa walikuwa wanatumia muda mwingi kuandaa  ngoma zao.
 

HABARI ZAIDI

Picha ya Fat Joe na Chris Brown

"Chris Brown anafaa kuwa 2Pac wa kisasa" - Fat Joe

Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa

Maandamano yetu sio kelele za wahuni - Golugwa

Nyumba ambayo mwili wa mwanaume ulikaa hadi kuharibika

Mke aishi na maiti ya mumewe akiamini atafufuka

Ofisa wa idara ya manunuzi na mikataba akimpatia maelezo mmoja wa wananchi wawaliojitokeza kutembelea banda la GGML katika maonesho ya OSHA na kujifunza namna kuzingatia usalama katika shughuli zao za kila siku.

GGML yaja na teknolojia za kisasa za uokoaji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Rais Samia asema CDF mwanamke atapatikana 2030