Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Gambo atoa agizo kwa Mkurugenzi

Jumamosi , 21st Oct , 2017

Mkuu wa mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo ameagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Monduli kuhakikisha anasimamia ujenzi wa Ofisi za Kata na unakamilika kabla ya mwezi wa kumi na mbili mwaka huu.

Agizo hilo amelitoa kwenye ziara yake ya siku mbili wilayani Monduli baada ya kujionea juhudi za wananchi wa Kata ya Moita kwa kufanikisha ujenzi wa Ofisi ya Kata kwa nguvu zao wenyewe.

Mkuu huyo wa Mkoa aliahidi kumkabidhi Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo shilingi milioni kumi kwaajili ya kumalizia ujenzi huo ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono juhudi za wananchi ambao wanajitolea kwaajili ya kujiletea maendeleo yao wenyewe.

Aidha Gambo pia amefanikisha ujenzi wa darasa moja katika shule ya msingi Kilimatinde baada ya kuchangia mabati 60, wakati Wananchi wengine wawili wakatoa milioni 4 kwaajili ya tofali pamoja na mifuko 30 ya Theluji iliyotolewa na Chama cha Mapinduzi wilayani humo.

HABARI ZAIDI

Sehemu ya Ardhi iliyoathirika na Mabadiliko ya Tabia Nchi

Hizi hapa sababu za hali ya hewa isiyotarajiwa

Picha za Satelaiti Zikionyesha Mwenendo wa Kimbunga Hidaya

Kimbunga Hidaya chaendelea kutawala eneo la Pwani

Madaktari Bingwa wa Mama Samia Wakiendelea na Upasuaji

Uvimbe wa kilo 5 waondolewa tumboni kwa mwanamke

Rocket Mwashinga, Chifu Mkuu wa Kabila la Wasafwa

Chifu Mwashinga akemea washirikina kutesa watu

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Wanahabari na Wadau wengine kwenye Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma leo Mei 03, 2024.

Watendaji serikalini ondoeni ukiritimba - Majaliwa

Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro SACP Alex Mkama, akionesha vitu vilivyokuwa vimeibiwa

Fundi ujenzi mbaroni mauaji ya dada wa kazi

Wahitimu wa Mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa JKT

Wahitimu JKT watakiwa kulinda miradi ya serikali