Jumatatu , 21st Dec , 2015

Bondia wa ngumi za kulipwa nchini Cosmas Cheka amejikuta akidundwa na Mrusi Vyancheslav Guessev katika pambano la kuwania ubingwa wa International Super Featherweight IBF la uzani wa Kilo 59.