Mkataba wa awali wa Mkata umeme huyo raia wa Tanzania ulikuwa utamatike Juni 2025 lakini sasa ataendelea kudumu kwenye viunga vya Azam Complex, Chamazi mpaka Juni 2027.
Jumatano , 14th Aug , 2024
Klabu ya Azam FC imethibitisha kuwa kiungo Adolf Mtasingwa Bitegeko (25) amesaini nyongeza ya mkataba mpya wa miaka miwili utakaombakisha kwa Waoka Mikate hao mpaka 2027.