Jumapili , 19th Nov , 2023

Kuelekea mchezo wa kufuzu kombe la dunia ambao unatarajiwa kuchezwa siku ya Jumanne (Cameroon VS Libya)

 

 Mchezaji wa timu ya taifa ya Cameroon na golikipa wa klabu wa Manchester United, Andre Onana anatajwa kutokuwako kwenye mjumuisho wa wachezaji wa kikosi cha timu ya taifa ya Cameroon.

Baadhi ya vyanzo vinatoa taarifa kuwa jeraha hilo siyo kubwa kwani inategemewa kurejea kwenye kikosi cha klabu yake ya Manchester United.

Cc: Sportstar