
Mchezaji wa Real Madrid Gareth Bale
Listi ya kikosi hicho kinachojulikana kama ‘FIFA FIFPro World 11’ imetangazwa hii leo kikiwa na jumla ya wachezaji 55 ambao watachujwa ili kupata kikosi cha wachezaji 11 kitakachotangazwa hapo baadaye mwezi huu.
Wachezaji wengine waliofanya vizuri ambao wameachwa katika listi hiyo ni pamoja na Sergio Aguero ambaye aliisaidia Man City kushinda ubingwa wa EPL kwa mabao yake 21 msimu uliopita, mlinda mlango, Jan Oblak wa Atletico Madrid ambaye ameshinda makombe mawili makubwa ya ulaya msimu uliopita na kiungo wa PSG, Marco Verratti ambaye aliisaidia klabu yake kushinda vikombe viwili vya ndani.
Listi ya magolikipa inaongozwa na mkongwe, Gigi Buffon(PSG), Thibaut Courtois(Real Madrid), David De Gea(Man United), Keylor Navas(Real Madrid), Andre Ter Stegen(Barcelona).
Safu ya ulinzi ikiwa na wachezaji, Jordi Alba (Barcelona), Dani Alves (Paris Saint-Germain), Dani Carvajal (Real Madrid), Giorgio Chiellini (Juventus), Virgil van Dijk (Southampton/Liverpool), Diego Godin (Atletico Madrid), Mats Hummels (Bayern Munich), Joshua Kimmich (Bayern Munich), Dejan Lovren (Liverpool), Marcelo (Real Madrid), Yerry Mina (Barcelona/Everton), Benjamin Pavard (Stuttgart), Gerard Pique (Barcelona), Sergio Ramos (Real Madrid), Thiago Silva (Paris Saint-Germain), Kieran Trippier (Tottenham), Samuel Umtiti (Barcelona), Raphael Varane (Real Madrid), Smie Vrsaljko (Atletico Madrid/Inter), Kyle Walker (Manchester City).
Viungo ni, Sergio Busquets (Barcelona), Casemiro (Real Madrid), Philippe Coutinho (Barcelona), Kevin De Bruyne (Manchester City), Andres Iniesta (Barcelona/Vissel Kobe), Isco (Real Madrid), N'Golo Kante (Chelsea), Toni Kroos (Real Madrid), Nemanja Matic (Manchester United), Luka Modric (Real Madrid), Paul Pogba (Manchester United), Ivan Rakitic (Barcelona), David Silva (Manchester City), Arturo Vidal (Bayern Munich/Barcelona).
Washambuliaji ni, Karim Benzema (Real Madrid), Edinson Cavani (Paris Saint-Germain), Paulo Dybala (Juventus), Antoine Griezmann (Atletico Madrid), Harry Kane (Tottenham), Robert Lewandowski (Bayern Munich), Romelu Lukaku (Manchester United), Mario Mandzukic (Juventus), Sadio Mane (liverpool), Kylian Mbappe (Paris Saint-Germain), Lionel Messi (Barcelona), Neymar (Paris Saint-Germain), Cristiano Ronaldo (Real Madrid/Juventus), Mohamed Salah (Liverpool), Luis Suarez (Barcelona).