Jumatatu , 9th Mei , 2022

Mshauri wa Rasilimali watu Mosses Raymond anasema kitaalam msongo wa mawazo 'Stress' ni nzuri kuleta mabadiliko katika maisha ya mtu binafsi kwa sababu ukiwa haupo comfortable unaweza kufanya juhudi za kukubadilisha. 

Mshauri wa Rasilimali watu Mosses Raymond

Mosses ameongeza kusema wengine wakipata stress hunenepa na kupata nuru kwa sababu hupenda kula sana na mwili ukipitia stress unahitaji quickly recovery. 

"Kuna wengine wakati wa 'Stress' wanapenda chakula fulani na kuupa mwili unachokipenda ili kujitafutia nafuu na faraja ya mwili, wanakuwa upande wa kula wakiwa na stress kwa hiyo lazima utanenepa".

Zaidi tazama hapa kwenye video.