Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Papa mwenye Albinism ashangaza ulimwengu

Jumatatu , 5th Oct , 2020

Mvuvi Jason Gillespie kutokea nchini Uingereza, amesema amepata bahati ya kuvua samaki aina ya papa mwenye 'Albinism'  ambapo akapiga naye picha kisha kumrudisha tena baharini.

Mvuvi Jason Gillespie akiwa na papa mwenye Albinism

Jason Gillespie amesema alikuwa anavua samaki na marafiki zake karibia na maeneo ya 'Isle of Wight' ndipo alipomvua papa huyo mwenye 'albinism' ya rangi nyeupe tupu ambaye alikuwa na futi 3.

"Nimekuwa nafanya kazi ya uvuvi kwa kipindi cha miaka 30 kamwe sikuwahi kuona mmoja kama huyu, nilimuachia kwa sababu ni spishi inayolindwa, nilijua ilikuwa kitu maalum kwa hiyo nikapiga naye picha kisha nikamuachia baharini, ilikuwa ni nafasi kwangu sijui niseme nini, ni samaki wa maisha moja kati ya milioni" amesema Jason Gillspie 

Inaaminika Jason Gillespie ndiye mvuvi pekee aliyepata udhibitisho wa papa mwenye albinism japo mwenyewe amesema aliwahi kusikia mvuvi mwingine kutoka Wales alivua papa kama huyo mwaka mmoja uliopita ila alikuwa mdogo sana.

Papa hao wenye 'albinism' huishi tofauti na papa wengine kutokana na rangi zao, pia huwa hawaonekani kwa sababu wanajificha sana wakati wa uvuvi.

Chanzo : TMZ

HABARI ZAIDI

Picha za Satelaiti Zikionyesha Mwenendo wa Kimbunga Hidaya

Kimbunga Hidaya chaendelea kutawala eneo la Pwani

Madaktari Bingwa wa Mama Samia Wakiendelea na Upasuaji

Uvimbe wa kilo 5 waondolewa tumboni kwa mwanamke

Rocket Mwashinga, Chifu Mkuu wa Kabila la Wasafwa

Chifu Mwashinga akemea washirikina kutesa watu

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Wanahabari na Wadau wengine kwenye Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma leo Mei 03, 2024.

Watendaji serikalini ondoeni ukiritimba - Majaliwa

Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro SACP Alex Mkama, akionesha vitu vilivyokuwa vimeibiwa

Fundi ujenzi mbaroni mauaji ya dada wa kazi

Wahitimu wa Mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa JKT

Wahitimu JKT watakiwa kulinda miradi ya serikali

Daktari wa GGML aliyebobea katika magonjwa yatokanayo na kazi, Cretus Karwan akimpatia vipimo mmoja wa wananchi waliotembelea banda la GGML na kupatiwa huduma za awali za upimaji wa afya katika maonesho ya OSHA yanayoendelea jijini Arusha.

Wananchi 200 wapimwa afya maonesho ya OSHA

Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), Tumaini Nyamhoka akipokea zawadi kutoka kwa Ofisa Mwandamizi wa masuala ya jamii na maendeleo ya kiuchumi kutoka GGML, Ruth Mharagi alipotembelea banda la GGML katika maonesho ya afya na usalama mahali pa kazi jijini Arusha.

TUCTA, OSHA wataka kampuni za madini kuiga ubunifu