Jumatatu , 29th Nov , 2021

Muanzilishi wa kampuni ya mavazi ya Off-White na mbunifu mkuu wa mavazi ya kiume katika kampuni ya Louis Vuitton, Virgil Abloh amefariki Dunia kwa ugonjwa saratani.

Picha ya Louis Vuitton

Virgil ameacha historia ya kuwa mtu mweusi wa kwanza Duniani kuchaguliwa kuwa mkurugenzi wa ubunifu katika kampuni ya Louis Vuitton.

Mbali ya kuwa mbunifu Abloh alikuwa ni DJ na mwanamziki na pia degree ya Civil Engineering.