Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Hatari ya ugonjwa wa kichaa cha Mbwa

Jumatano , 7th Oct , 2020

Mtaalamu wa Afya kutoka Wizara ya Afya Dkt.Jubilate Bernald, amesema kuwa ugonjwa wa kichaa cha Mbwa ni tofauti na magonjwa mengine ambapo mtu akishaanza kuonyesha dalili za ugonjwa  huo hawezi kupata tiba.

Mfano wa mtu aliyejeruhiwa na mbwa

 

Akizungumza na East Africa Radio, katika kipindi cha Supa Breakfast amewataka watu kuchukua tahadhari mapema pale wanapokuwa wameumwa na mbwa na sio kusubiri mpaka dalili zinapoanza kuonekana.

"Ugonjwa huu ni tofauti kabisa na magonjwa mengine yoyote tunayoambiwa ukiona dalili wahi kituo cha afya, kwa sababu ugonjwa huu mtu akishaanza kuonyesha dalili hakuna tiba na moja kwa moja inakuwa anasubiria kifo" alisema Dr.Jubilate

Aidha Dkt.Jubilate amesema licha ya dalili ya ugonjwa huo kufafana na magonjwa mengi ameitaja dalili pekee ya ugonjwa huo ni wagonjwa kuogopa maji.

“Dalili ya peke yake ya kumtambua mtu mwenye ugonjwa huo zaidi huwa anaogopa maji na mwanga, ukimuekea maji anaweza akaogopa au akakimbia nakumwaga yale maji,anadhoofu, anabweka kama mbwa na wanakuwa na nguvu sana, wakorofi"alisema Dkt.Jubilate

Kwa mujibu wa wataalamu wa afya Kichaa cha mbwa, ni ugonjwa ambao  unaambukizwa kwa kungatwa na mbwa mwenye kichaa na ugonjwa huu si kwa binadamu bali hata wanyama , wastani wakuonyesha dalili za ugonjwa huo ni wiki mbili hadi mwezi  inaweza ikazidi au chini ya hapo.

HABARI ZAIDI

Mbunge wa Kilosa Profesa Palamagamba Kabudi

"Ndege ijayo ipewe jina la Mwl Nyerere" - Profesa

Baadhi ya Wanachi wa Kata ya Msowero, wakiwa Katika Mkutano wa Hadhara na Mkuu wa Wilaya

Mwenyekiti atiwa mbaroni kwa kuuza mlima, Msowero

Sehemu iliyokumbwa na Mafuriko Kusini mwa Brazil

Wanaokufa kutokana na mafuriko waongezeka Brazil

Baadhi ya Wabunge Wakichangia Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Uchukuzi

Serikali yashauriwa kuwa bunifu sekta ya usafiri

Baadhi ya Wananchi Wakishudia Ajali Iliyomgonga Mwendesha Bodaboda

Watatu wanusurika kifo, scania ikimgonga bodaboda

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Deogratius Ndejembi (kulia) pamoja na Meneja Mwandamizi wa Afya, Usalama na Mazingira kutoka GGML, Dk Kiva Mvungi (kushoto) wakimpatia vifaa kinga mmoja wa washiriki wa mafunzo kwa madereva bodaboda wa jiji la Arusha.

Bodaboda 200 Jijini Arusha wanolewa na kufundwa

Rajab Abrahaman Abdalah, Mwenyekiti wa CCM Mkoa Tanga

CCM Tanga yaijibu CHADEMA kuhusu huduma za kijamii

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Jenista Mhagama

Wazazi simamieni maadili kwa watoto