
Henry ameachiwa kwa dhamana ya Ksh 200,000 na kesi yake inatarajiwa kusikilizwa April 25 mwaka huu.
Henry alifika hotelini akiwa na mwanamke ambaye aliagiza chakula na pombe kali kisha wakaelekea chumbani pamoja. Baada ya masaa kadhaa alipelekewa bili yake na hakuwa na uwezo wa kuilipa.