Akizungumza ndani ya eNEWZ, Edu amesema "Sababu ilikuwa ni pesa ambazo nilimpa azishike lakini akazitumia bila idhini yangu hata hivyo kile kitendo tulishasuluhishwa na tukawa sawa pia alinirudishia hela yangu japo mimi sikutaka anirudishie ilikuwa ni katika kurekebisha tabia kwa kuwa yule ni kama mdogo angu".
Edu amesema ilikuwa atoe adhabu ila hakumtia ndani Young Killer kwa kuwa sheria ndo inaamua kumuweka ndani mtu






