Picha ya Wellu Sengo na Steve Nyerere
Zaidi mtazame hapa Wellu Sengo akizungumzia issue yake na Steve Nyerere kuhusu mtoto wao.
Msanii wa filamu Wellu Sengo 'Matilda' amesema hawezi kufanya utoto wa kuanza kumzungumzia Steve Nyerere kwa sababu hayupo kwenye maisha yake pia hatimizi majukumu yake kama baba kwa mtoto wao.
Picha ya Wellu Sengo na Steve Nyerere
Zaidi mtazame hapa Wellu Sengo akizungumzia issue yake na Steve Nyerere kuhusu mtoto wao.