Picha ya Master J
“Tukitaka kwenda International lazima uwe na Identity yako. Huwezi kuona Davido, Asake au msanii wa South Africa wanafanya sound ya BongoFleva”
“Kwa hapa East Africa wasanii wetu ni bora na wanatengeneza pesa lakini hawatafika soko la kimataifa”.
Zaidi tazama hapo chini kwenye video.