Jumanne , 18th Feb , 2025

Utafiti wa The Kennel Club unaonyesha asilimia kubwa ya wanawake walio-single wanapendelea urafiki wao mkubwa na Mbwa kuliko kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanaume.

Picha ya Mwanamke akiwa na Mbwa wake

Kwa mujibu huo wa The Kennel Club inayotambulika duniani kwa jukumu la kusimamia shughuli mbalimbali za mbwa zinasema, asilimia 60 mpaka 70 wanawake single wanachugua mbwa kuliko mwanaume.

Pia wamiliki wengi wa wanyama wanaona Mbwa wake/wao ni bora kuliko kuchagua mpenzi sababu Mbwa ana upendo mkubwa na huepuka uhusiano na wanaume.