
Billnass
Billnass amefunguka hayo na kusema kwamba mtu ambaye anazungumza yeye anabebwa ni kipimo tosha cha kugundua akili pamoja na fikra zake zilipoishia.
"Unajua hatuwezi kuumizwa na maneno ya kila mtu. Mtu anayezungumza mimi nabebwa basi ni kipimo cha kujua hata uwezo wake wa kufikiri. Watu hao wapo lakini hawasumbui sana kwani kazi zangu zinajiuza zenyewe. Lakini watu hao wanatakiwa kupatiwa msaada wa kisaikolojia," Billnass .
Pamoja na hayo Billnass amesema ngoma ya 'Sina Jambo' ni muziki ambao unasikilizika na mtu wa aina yoyote kutokana na uhalisia pamoja na maudhui yaliyopo ndani ya wimbo huo.