Jumamosi , 18th Jun , 2022

Irene Uwoya ametangaza kumpa ofa ya kumgharamia staa mwenziye wa filamu Kajala Masanja siku ya harusi yake kwa sababu atafurahi kumuona akiolewa.

Picha ya Irene Uwoya kushoto kulia ni Harmonize na Kajala

"Kajala siku ya harusi yake kwa sababu ni mtu mkubwa nitamvalisha kuanzia mwanzo hadi mwisho, ni siku ambayo nitafurahi sana akiolewa, nitamgharamia kwangu atapata ofa ya kila kitu " - Irene Uwoya

Zaidi mtazame Irene Uwoya akizungumzia hilo.